PICHA:Tazama Rihanna alivyotokea kwenye jarida la CR-Book Fashion.
Mwanamuziki Rihanna ametokea kwenye jarida la urembo na mitindo linalofahamika kama CR -Fashion Book ambapo katika picha hizo RiRi ambae kwa sasa yupo mapenzini na rapper Drizy Drake anaonekana katika pozi tofauti.