Picha ya Gari ya Roma baada ya Kupata Pancha na kwenda kuigonga Canter Chalinze |
JUMAMOSI ILIYOPITA KUNA TAARIFA ZILISAMBAA TOWN KWAMBA BEST HIP HOP ARTIST 2012, ROMA WA TONGWE RECORDS AMEPATA AJALI MBAYA YA GARI, TAYARI PICHA ZA AJALI HIYO ZIMESAMBAA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII YANI NDINGA LIKO RIHGT OFF KABISA, NA UNAWEZA KUJIULIZA ILIKUAJE ABIRIA WA NDINGA HILO WAKATOKA SALAMA? MAANA INASEMEKANA GARI ALIYOKUA ANAENDESHA ROMA ILIGONGANA USO KWA USO NA GARI NYINGINE YA MIZIGO AINA YA CANTER MAENEO YA KIBAHA
TULIJARIBU KUMTAFUTA ROMA KWA BAHATI MBAYA HAKUWEZA KUPATIKANA, LAKINI TUMEFANIKIWA KUMPATA BACK VOCALIST WA ROMA AMBAYE NAYE ALIKUWEPO KWENYE AJALI HIYO, ANAITWA DICKSON MSAMI, AKASEMA KILICHOWASAIDIA WASIUMIE SANA NI KUVAA MIKANDA LAKINI BILA HIVYO M'NGESIKIA MENGINE, POLISI WALIFIKA ENEO LA TUKIO NA KUPIMA AJALI HIYO NA WAKARIDHIKA KUWA HAIJASABABISHWA KWA UZEMBE BALI NI PANCHA ILIYOTOKEA KWENYE TAIRI LA KULIA LA GARI YA ROMA, HIVYO WAKARUHUSIWA NA ROMA ALIFATWA NA WAANDAAJI WA SHOW YA MOROGORO, AKAENDELEA NA SAFARI NA SIJUI MOYONI ALIJISKIAJE MASKINI, LABDA KAMA ALIKATA BIMA KUBWA NDO ATAKUA NA UHAKIKA WA KULIPWA NDINGA JIPYA..MH!! YANI NI BO BO BO BOOONGE LA HASARA, UNAAMBIWA VIBAKA NAO HAWAKUA NYUMA WAKAIMENDEA SIMU YAKE YA MKONONI NA KUTOKOMEA NAYO, BILA KUMWONEA HURUMA MWENZAO ALIKUA KATIKA WAKATI MGUMU KIFIKRA, GAZETI LA MAKOROKOCHO LINATOA POLE KWA ROMA MKATOTLIKI KTK KIPINDI HIKI KIGUMU