Monday, August 6, 2012

MASKINI MASANJA MKANDAMIZAJI ATEMBEZEWA KICHAPO NA POLISI BAADA YA KUHISIWA NI JAMBAZI

Pole Mukandamizaji
Wakati akielekea kwenda kulipa Promo neno la Mungu huko mikoani, kazi ambayo ni ya pili kwake baada ya kukuvunja mbavu sana kupitia Ze Comedy Orijino ya TBC 1, Inasemekana kwamba eti Juzi pande za Chalinze/Pwani Mchekeshaji maarufu bongo Masanja Mkandamizaji wacha atembezewe kichapo heavy na Polisi Unajua ilikuaje?
(Jibu Tiririkaaa) Teh teh Unaona Utaaaamu...!! Jamaa walikua wanaescort money from Dsm kuelekea Tanga (si unajua gari za benki zinavyolindwa) sasa wakiwa na gari la ESCORT, nyuma yao Masanja alikua anaendesha gari aina ya Noah ndani ya Gari akiwa na wanakwaya wenzake, kwahiyo Masanja akawa anawafuata kwa nyuma tangia Ubungo ndipo Polisi wakahisi watakua majambazi, basi walipofika Chalinze jamaa wakablock njia na kuisimamisha hiyo na Noah ya Kina mkandamizaji na kumshusha dereva kisha kumwagia kichapo cha nguvu, dah kumbe alikua Masanja kuja kushtuka wanamcheki usoni inasemekana alikua kishaloa cku miiiiingi, ndo wakaanza kumhoji vizuri, polisi waliporidhika na maelezo yake ndo wakamuachia aendelee na safari, kwa mengi zaidi humu humu ndani  tafuta kidirisha cha You Heard ya XXL alichojibu ndugu yake Mpoki baada ya Masanja kutopatikana hewani #SamahaniLakini

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.