Tuesday, August 28, 2012

MHARIRI MKUU WA GAZETI LA MAKOROKOCHO (GOSSIP COP TZ) MKOANI TANGA KTK MAANDALIZI YA TAMASHA LA FIESTA 2012 WIKI ILIYOPITA

Gossip Cop- Tz Soudy Brown, Daudi Wa Kota pamoja na Chiddy
The Gossip Cop wa Clouds fm kwenye kile kipindi cha vijana cha XXL administrator namba moja wa gazeti la makorokocho Soud Brown akiwa katika mojamoja ya harakati zake mkoani TA!
As normal huyu ni admin na mrembo!
Presenter namba moja mwenye makeke ndani ya kipindi cha vijana bana! AD Plus Katikati akionyesha tabasamu baaada yakutupiwa swali na Admini namba moja wa Makorokocho! Soud B alievaa headphone.
mh! ma Admini hao! Kama unavyoona kidole kinavyoonyesha MOJA! Makorokocho namba moja kwenye habari! unataka kujua kwanini? Sikiliza Clouds Fm kipindi cha XXL segment zote ilaaaaaa tilia mkazo masikio yako inapofikia ile kibande cha U HAAAAAAAAAAAAD! UNAONA UTAAAAAAAAAAM!


Tiiiiiiiiiiiiiili tilitiiiii! Unaendelea kusoma maaandishi ya kijanja ndani ya blog ya wajanja wa habari za kina na uchunguzi wa aina yake! Una habari? Basi tuwasiliane ili tuone jinsi gani tunaweza kuitiririsha! U HAAAAAAAAAD!!?


Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.