Artist anayewakilisha kundi la Kikosi cha Mizinga maarufu kama Kalapina Tangu zoezi la kuhesabu watu lianze (SENSA) yeye amekua akilipinga waziwazi kupitia Status zake anazopost Facebook, Kitu ambacho ni kinyume na Agizo la Serikali kuwa ni muhimu kuhesabiwa ili badae Taifa liweze kupanga mambo yake vizuri,
hii ni Status aliyo post Kalapina, siku ya Jumamosi
KalApina Kikosi Cha Mizinga
enyi waislam enyi mlio amini hakuna kuhesabiwa sensa mpaka hii serikali dhalimu na vibaraka wake kama bakwata mpaka serikali ikubali madai yetu kama kufungwa jela ama kukamatwa waanze kunikamata mimi