Kila mmoja In da studio aliifurahia Album hii, na hicho ndo kitu kizury bout Hip Hop, Mc's wanaumiza vichwaaaa |
Fundi Mitambo Gossip Cop Soudy Brown |
Sinza Star, Mzee wa Nanjilinji/ Mansulii akiichambua Album ya Kina Kirefu ha ha Ni Bonge Moja ya Album track afta track haina Kuskip hiyo |
"Aaaaah...Jamani Bullah" The All Weather Dj, Dj Bullah kwenye Madudez Unlimited |
Baada ya Dommy Kuibua Hoja ya Uhalali wa CD ya Mansulii kuitwa Mixtape badala ya Album, Mwanadada Antu Mandoza akaona Bora Apige Chabo kwenye Google, Ha ha ha |
Tiririkaaaaaaaaaa |
Mtu mzima Dommy Baada ya Kuskiza Baadhi ya Ngoma Midadi Ikampanda akaona Bora Asimame Tu #Ah....MamboYaBinadamuHayo |
Fundi Mitambo Gossip Cop Soudy Brown #Akinonihino |
Skiza Brand New Track kutoka kwa Mansulii ft Max , inaitwa Shabiki Enjoy: