Saturday, November 3, 2012

CD ZINAUZAAAAA



Bado ctaki kuamini kwamba Eti Album za Artist haziuzi, yani hiyo nitabisha mpaka kesho kutwa yani nikiskia ucngzi nitakuaga naenda kulala kesho tukikutana tunaendeleza kubishana kwa Facts na mfano hai ukiwa ni mm Mwenyewe, ninazo Album Kadhaa kwenye Nonihino yangu Nyumbani,



kwanza inasikitisha Katika Nchi yenye Population ya watu zaidi ya milioni 35, eti hakuna Msanii aliyewahi kuuza hata Platinum moja (Copy 500,000) za Album ama Single Yake, kiasi cha kwamba tukitaka kumjua msanii Mkali siku hizi basi eti inabidi tuangalie Ana Scandal Ngapi kwenye Magazeti, kagombana mara ngapi na wenzake, na vitu kama hivyo ambavyo ki ukweli sio kigezo cha kumpa mtu sifa za kuwa Bora, 




Angalau kwa Mauzo ya Album tunaweza kupima hilo, kwa sababu hakuna raia anayeweza kununua Boroka, na iwapo itatokea hivyo atamshtua mwenzake apotezee,

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.