Tuesday, February 12, 2013

Tuzo za valentine best couple 2013 zazinduliwa.

 Mkurugenzi wa Kampuni ya Tanzania Music Power Entertainment, Phabian Duwe akifafanua jambo wakati wa kutangaza tuzo za wapendanao zitakazofanyika Februari 14 kwenye Hoteli ya Demag iliyopo  Mwananyamala jijini Dar es  Salaam. Katikati ni Meneja wa TMPE, Evelyn Munisi na Ludovick Mugasha. (Picha zote na Dande JR)

 Mwanamuzi, Rogers Lucas ambaye atatoa burudani katika utoaji wa tuzo za Wapendanao akionesha umahiri wake wa kupiga gitaa wakati wa kutangaza tuzo kwa wapendanao zilizoandaliwa na Kampuni ya Tanzania Music Power Entertainment ya jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi wa kampuni hiyo, Phabian Duwe na Meneja wa TMPE, Evelyn Munisi.


TUKIO HILI LITAFANYIKA SIKU YA WAPENDANAO, ALHAMISI HII YA TAREHE 14FEB 2013 KATIKA HOTEL YA DEMAG, KIINGILIO KWA COUPLES NI SH.70, 000/= AMBAYO ITAJUMUISHA NA BUFEE, VINYWAJI, KUOGELEA NA COACK TAIL NA SINGLE SH, 50,000/= TU.  KUTAKUWA NA BURUDANI YA MUZIKI WA LIVE, KUTOKA KWA MSHINDI WA PILI KATIKA SHINDANO LA BSS 2011 ROGERS LUCAS AMBAYE ATAPIGA GITAA LAKE LIVE NA SURPRISE ZINGINE KIBAO NA ZAWADI.

MNAKARIBISHWA MNO.


Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.