Wednesday, January 2, 2013

DOKTA MANYAU NYAU AAHIDI KUM'BADILISHA NYETI ALIYEMZUSHIA KIFO

ManyauNyau

Yule Bingwa wa Tunguli Bongo maarufu kwa kuwa Tiririsha Wanga kwenye Kona za Uswazi, wiki iliyopita Kuna mtu alipost kupitia mtandao wa Kijamii wa "Jamii forum" kuwa Eti ManyauNyau amefariki, sasa Mganga huyo wa Jadi ametiririka kwamba adhabu yake kwa Mzushi huyo ni kum'badili jinsia, Kama ni mwanaume basi atewekewa Nyeti za Kike na kama ni Mwanamke basi atawekewa Nyeti za Kiume, watu hao wakiwa na Jinsia hizo Mpya watakua na Hamu ya kufanya Kitendo na wataweza kuingiliwa au Kuingilia mtu wa Jinsia tofauti, Mskize Manyau Nyau alivyotiririka na Mhariri Mkuu wa Gazeti La Makorokocho leo kwenye You Heard ya XXL / Clouds fm

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.