Friday, May 10, 2013

ANNIVERSARY : PONGEZI KWA FAMILIA YA DJ G LOVER KWA KUTIMIZA MIAKA 17 YA NDOA


Mr & Mrs Gulu R. Nanji
Leo DJ Maarufu kwa jina la G LOVER yeye pamoja na wife wake wametimiza miaka 17 ndoa yao, DJ G LOVER ni mwanzilishi wa record label kubwa nchini inaitwa G RECORDS studio ambayo imefanya kazi na kupika kazi za wasanii wengi kama MR BLUE, ALI KIBA, NIDANGANYE DANGANYE YA SHETA,  KIKONGWE YA PICO na nyingine kibao si kitu kidogo kabisa kwa wanandoa kuishi miaka yote hiyo, 
Gazeti la makorokocho linatoa pongezi kwa familia hii, mungu awaongezee miaka tele ya ndoa.
soma alichoandika G Lover kwenye account yake ya Facebook
Oooops Ohhh Gosh Its 10th Of May 2013...& Its A 17th Yrz Of Our Marriage Mr & Mrs Gulu R. Nanji... Happy annivesary 2 us...Plz Allah Tujaalie Sisi Waja Wako Tuishi Kwa Miaka Ya Wewe Uipendayo Katika Dunia Hii & Tulee Watoto Wetu Vizri Na Kuishi Na Family & Friends Vizuri...Thank God 4 Evr Things hadi 2day Twasheherekea Miaka 17 Ya Ndoa Yetu...God Bless Us Family & Friends 2...I Love Ma Wife & We Love U Ol...Yani Ni Kama Jana Tu Lakini Ni Miaka 17 Aaaaaah I Luv It & Happy 2

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.