Star wa Bongo Movie Aunty Ezekiel kwa wakati huu anaonekana akiwa na tumbo kuuuubwa kumaanisha kuwa ana ujauzito mkubwa pia usiopungua miezi mitano, licha ya katika hali hii Star huyo ameonekana mara kadhaa akiwa ameshachapa kilevi hadi kuyumba yumba sasa gazeti la makorokocho likacheki na Mganga katika hospitali ya Muhimbili na kumkutanisha live na Aunty Ezekiel
sikiliza mazungumzo yalivyokua ndani ya You Heard ya Clouds fm
