Wednesday, November 16, 2016

'Mpemba' wa meno ya tembo alietajwa na Rais Magufuli afikishwa mahakamani.



Mtuhumiwa wa makosa ya kukamatwa na nyara za serikali, Yusuf Ali Yusuf maarufu kama Shehe Mpemba (35) kwenye picha ambaye alitajwa na Rais John Magufuli kuwa ndiye kinara wa biashara ya meno ya tembo na wenzake Charles Mrutu (37), Benedict Kungwa (40), Jumanne Chima (30), Ahmed Nyagongo (33) na Pius Kulagwa (46) wamefikishwa mahakamani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mbele ya Hakimu Thomas Simba ambapo hawakutakiwa kujibu chochote na kesi hiyo kuahirishwa hadi Desemba Mosi mwaka huu itakapotajwa tena huku watuhumiwa hao wakirudishwa rumande.


Hii ni hati ya mashtaka;

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.