Rais Magufuli ametoa pongezi zake kwa Rais mteule, Donald Trump kupitia ukurasa wake Twitter.
Ameahidi kumpa ushirikiano wa kutosha katika uongozi wake.
Mgombea wa Republican Donald Trump amemshinda Hillary Clinton wa Democratic katika uchaguzi wa urais uliokuwa na ushindani mkali.Clinton amempigia simu Bw Trump kumpongezaTrump amepata kura 278 za wajumbe, Bi Clinton akiwa na 218.Trump alishinda majimbo mengi yaliyokuwa yanashindaniwa nchini humo.

