Kipindi cha nyuma aliwahi kuhusishwa mheshimiwa fulani wa Serikalini, Achana na hiyo siku za hgivi karibuni ameibuka mshikaji anaedai kuwa ni mhusika halisi kbisa kwenye uzazi wa Cookie (Yaani Baba Mzazi) Kama unavyoweza kumsikia hapa wakati akibwabwaja juu ya kipaza cha +SHILAWADU TV
Katika kutafuta uthibitisho wa madai hayo, Shilawadu tuliamua kumtafuta @Aunty Ezekiel na alikuwa na haya ya kusema: