Diamond akiwa na Tuzo zake saba |
MC MPOKI NA
SHADEE KUTOKA CLOUD 9 YA CLOUDS TV
Mwana fa
ameanzisha performance na kupiga show na wamasai kibao wimbo ni mpya ameufanya
na Gnako? KWANINI FA AMEPERFORM NGOMA MPYA?
MOMENT OF
SILENCE KWA WALIOTUTANGULIA
GURUMO,
LANGA, NYAISANGA, RANKIM RAMADHAN
OMMY DIMPOZ
AMEPERFORM KOLOKOLO NGOMA YAKE MPYA
Wyre the
love child na Amani from Kenya wamegawa tuzo ya msanii bora wa kike bendi luiza
mbutu
WEUSI WALIAMSHA
KWA KUPERFORM GERE WAKIWA WAMETUPIA VIKOI, HUKU USONI WAKIWA WAMECHORWA KIASILI
NA WALIPANDA NA BENDERA ZA TANZANIA.
MADEE LICHA
YA WIMBO WAKE TEMA MATE TUWACHAPE KUTOLEWA KTK MCHAKATO WA AWALI WA TUZO HIZO,
ALIPATA NAFASI YA KUPERFORM KTK UGAWAJI WA TUZO HIZI MWAKA HUU, NA ALIPIGA
POMBE YANGU NA KUZUNGUSHA ROUND MOJA YA POMBE KWA WATU WALIOHUDHURIA, SO
WALIKUWEPO WAITER KUTOKA BACKSTAGE WAKAGAZIGAWA BIA
MWANADADA
WEMA SEPETU – ALITOA TUZO YA MSANII BORA WA KIUME / KIZAZI KIPYA AMBAYO ILIENDA
KWA BOY FRIEND WAKE DIAMOND PLATINUM, SHANGWE LILIKUA LA HATARI SANAAAA
WEUSI
WALIPOPATA TUZO YA KUNDI BORA, MSEMAJI WAO NIKKI WA PILI ALITOA OMBI KUWA SANII
ITAMBULIKE RASMI
VANESA MDEE
NUSU ALIE KWA FURAHA BAADA YA KUPATA TUZO YA WIMBO BORA WA RNB
SAGANDA
ALIPERFORM NGOMA ALIYOITOA ZAIDI YA MIAKA 10 ILIYOPITA
FID Q YEYE
KAMA YEYE TANGU MWAKA 2007 ALICHUKUA TUZO YA MSANII BORA WA HIPHOP NA KUMALIZA
YA MANENO YA CHINICHINI KWAMBA KWANINI JAMAA HAPATI TUZO YA HIPHOP MIAKA YOTE
HII
CHAMELEONE
ALIKUWEPO KUCHUKUA TUZO YAKE YA WIMBO BORA AFRIKA MASHARIKI TUBONGE, NA
AKAFUNGUKA KUWA KUMBE WIMBO SIKU YA KWANZA KUKUTANA RAIS MUSEVEN WA UG ALIBONGA
NAE KISWAHILI
DIAMOND ALIONGOZA KWA KUONDOKA NA TUZO SABA
MZEE YUSUPH ALIONDOKA NA TUZO 4
DIAMOND ALIONGOZA KWA KUONDOKA NA TUZO SABA
MZEE YUSUPH ALIONDOKA NA TUZO 4
WIMBO BORA WENYE VIONJO VYA ASILI VYA TANZANIA
BORA MCHAWI - DAR BONGO MASSIVE
BEST UP COMING ARTIST
YOUNG KILLER
WIMBO BORA WA AFRO POP
DIAMOND – MY NUMBER ONE
WIMBO BORA WA DANCE HALL/ RAGGA
CHIBWA FT JURU – NISHAI
WIMBO BORA WA RAGGAE
DABO
WIMBO BORA WA TAARAB
MZEE YUSUPH – WASIWASI WAKO
KIKUNDI CHA MWAKA CHA TAARABU
JAHAZI MODERN TAARAB
MWIMBAJI BORA WA KIKE TAARAB
ISHA RAMADHANI
MWIMBAJI BORA WA KIUME WA TAARABU
MZEE YUSUPH
Wimbo bora wa Kiswahili Bendi
Mashujaa – ushamba mzigo
Mwimbaji Bora wa Kike Bendi
Luiza mbutu
Mwimbaji bora wa kiume/ bendi
Jose Maraa
RAPA BORA BENDI
FURGUSON
BENDI BORA YA MWAKA
MASHUJAA BAND
MWIMBAJI BORA WA KIUME / KIZAZI KIPYADIAMOND PLATINUM
KIKUNDI CHA MWAKA / KIZAZI KIPYA
WEUSI
WIMBO BORA WA RNB
VANESA MDEE - CLOSER
WIMBO BORA WA HIP HOP
NIKKI WA PILI - NJE YA BOX
MSANII BORA WA HIP HOP
FID Q
WIMBO BORA WA KUSHIRIKIANAMUZIKI GANI NEY WA MITEGI FT DIAMOND
WIMBO BORA WA AFRIKA MASHARIKI
TUBONGE - JOSE CHAMELEONE
MTUNZI BORA WA MWAKA - TAARAB
MZEE YUSUPH
MTUNZI BORA WA MWAKA BENDICHRISTIAN BELA
MTUNZI BORA WA MWAKA / KIZAZI KIPYA
DIAMOND
MTUNZI BORA WA MWAKA HIPHOP
FID Q