Monday, April 2, 2012

"IZO B" AKIRI BEEF YAKE NA ROMA ILIKUA NI YA KUTENGENEZA, PIA AKUBALI KUWA AMEFUNIKWA NA ROMA DAR LIVE, AMSHKURU MUNGU KWANI WAMETENGENEZA ZAIDI YA MILIONI 4 KILA MMOJA

Izo Business on stage
Wasanii wawili ambao hivi walibuni mchongo wa kubattle kwa stage, lakini njia ya kuiwakilisha battle hiyo kwa wtu ikawa kama ya mabondia, kiasi cha kwamba Fans wakahisi machizi wako katika beef (Sio maneno yangu namnukuu IZO)  jana usiku ndani ya ukumbi wa Dar Live walihitimisha maneno maneno ya watu, kwani muda mfupi tu baada ya Show ya mkali nani kati yao, Izo akafunguka kwamba yeye na Roma hawana Beef bali ulikua ni mchongo tu, na hafikirii kama ataendelea ku battle na msanii huyo (ROMA) kutokana na Fans kutafsiri mchongo wao ni beef, Izo akasema kwamba anakubali kuwa Roma alitisha that night, kwa kusema "ah jamaa ametishaa, lakini nilikua napambana na watu wengi, cheki Darasa na Dj Choka walivyo mpa company mchizi, lakini haina noma" Nime mek zaidi ya Four M (milioni nne) kutokana na dili hili.

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.