Wednesday, August 6, 2014

SHILOLE NA NUH MZIWANDA WAPATANISHWA

Mapenzi ya Shilole na Msanii mwenzake Nuh Mziwanda yamerudi tena baada ya wawili hao kupatanishwa na watu wao wa karibu, kwa mujinbu wa Shilole anadai kuwa Nuh amerudisha mabegi yake ya nguo kwa Shishi pamoja na vitu vingine ambavyo alivichukua nyumbani kwa mwanadada huyo baada ya kugombana juzi usiku, na hiyo ilikua ni baada ya Nuh kuzifumania msg ambazo alihisi zilikua zinatoka kwa mwanaume ambaye ana mahusiano ya ki ngono na Shilole,
zaidi Waskize wote wawili wakifunguka na mtandao wa Makorokocho

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.