Wednesday, January 28, 2015

Lil Wayne aripoti kumchukua Drake na Nicki Minaj


Wakati seke seke la Lil wayne na Bird man bado linawaka moto ikiwa Weezy hapa juzi juzi ameamua kumshitaki Bird man kwamba anamdai pesa zake,sasa kingine kimeibuka kwa mkali huyo ambae amejitoa YMCMB,na amesema kwamba anaweza kumchukua Nikki Minaj na Drake kuwa kama members wake.
Imeripotiwa katika kutoka katika mtandao wa tmz.com kwamba,baada ya kuondoka katika kundi lake la mda mrefu la Young Money sasa ana plan za kumchukua Drake na Nikki Minaj kwa lengo la kurudisha mamillioni ya pesa anazo mdai Bird Man…Kwa chanzo cha mtu wa karibu wa Lil Wayne amesema kwamba Wezzy hayupo tayari kuachia fedha zake ziende bure bali atalipiza kwa kuchukua crew members wake walio found nao kabla hawajatoka.


Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.