kampuni ya Chopards inauza miwani ya aina nyingi na maduka yao yapo sehem mbalimbali barani ulaya.
Histori ya Chopards inaanzia nchini Switzerland miaka ya 1860 katika kijiji kimoja kinachoitwa Sonvilier na mwanzilishi alikua anaitwa Chopard miaka ya 1960 watoto wa mzee Chopard waliuza kampuni hii wa Scheufele hadi leo kampuni hii imekua ikitengeneza bidhaa nyingi za kike na kiume (miwani na saa)