Saturday, February 7, 2015

YOU HEARD: JE VIDEO YA MADEE VUVULA ITARUHUSIWA KUCHEZWA KWENYE STATION ZA BONGO?

Muda mfupi baada ya Kionjo cha Video mpya Madee kuachiwa kwenye mitandao ikaleta gumzo kubwa kutokana na uvaaji wa nguo wa Video Queen wa Vuvula kuwa wa kimahaba zaidi kiasi cha watu kujiuliza Je Video hiyo ikitoka tarehe 7 February katika uzinduzi mkubwa ndani ya Escape 1 itaruhusiwa kuchezwa kwenye luninga za Tanzania au itazuiwa kama ilivyowahi kutokea kwa video za Jux, Shilole na Tema Mate Tuwachape ya Madee mwenyewe?
sasa Muhariri wa gazeti la Makorokocho limenyapia nyapia habari hii kwa kupiga stroy na Madee, msikilize hapo chini...


KIONJO CHA VIDEO YA MADEE "VUVULA"

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.