Haya Ni Maamuzi Ya Twitter Kwenye Akaunti Ya Lulu.
Baada ya kusherehekea birthday party ya mpenzi wake Majizzo hapo jana muigizaji staa wa Tanzania Lulu ameianza siku yake ya leo kwa kuongeza idadi ya mastaa wa Tanzania ambao wamekua verified kweny twitter.
"Inawezekana Bday ya Baba G imekuja na hii Tiki... Aaah Wapi asipate Bichwa" ameandika lulu kwenye ukurasa wake wa Instagram.