Source yetu imetupenyezea ubuyu huu asubuhi ya leo huku ikitusisitiza kuangalia kipande hiki cha video ya dancer huyo akifanya yake stejini.
Baada ya kuangalia hatukupaata majibu moja kwa moja hivyo tukaamua kushare na nyinyi wambea wenzetu ili tusikie kutoka kwenu.
Angalia Video hapa chini.
Baada ya kuangalia video hiyo unaweza ukatuachia komenti yako hapo chini utuambie ulichokiona.