Thursday, September 8, 2016

VIDEO:Diddy aongoza tena list ya ma-rapper wenye fedha.

Rapper mkongwe kwenye tasnia ya muziki wa Hip Hop ulimwenguni,Sean Combs maarufu kama P- Didy ameendelea kongoza kwenye list ya ma-rapper wenaomiliki kiasi kikubwa cha fedha,kwa mujibu wa jarida la Forbes.

Diddy ameendelea kuongoza kutokana na mauzo ya kinywaji chake cha Ciroc,mirahaba ya matangazo kupitia kampuni yake ya Revolt Tv na shows alizofanya na kundi lake la Bad Boy Entertaiment.

Hata hivyo anafatiwa na Legend mwingine,rapper Jay Z ambae licha ya ktokua na album mpya,ila amekua akiingiza kiasi kikubwa cha fedha kupitia lebo yake ya muziki ya Roc Nation,huduma ya kuuza nyimbo mtandaoni ya Tidal na dili nyingine za matangazo.
 Producer na rapper mwingine mkongwe,Dr.Dre amefunga ile list ya Top 3,kutokana na mirahaba ya mauzo ya "beats" (midundo) pamoja na mauzo ya filamu ya "Straght Outa Campton" iliyowajumuisha rappers wenzake wa kundi la N.W.A.

List nzima ya Hip-Hop Cash Kings 2016.

1. Diddy – $62 million
2. Jay Z – $53.5 million
3. Dr. Dre – $41 million
4. Drake – $38.5 million
5. Wiz Khalifa – $24 million
6. Nicki Minaj – $20.5 million
7. Pitbull – $20 million
8. Pharrell Williams – $19.5 million
9. Kendrick Lamar – $18.5 million
10. Birdman – $18 million
 11. Kanye West – $17.5 million
12. DJ Khaled – $15 million
13. A$AP Rocky – $14.5 million
14. J. Cole (Tie) – $14 million
14. Lil’ Wayne (Tie) – $14 million
14. Macklemore & Ryan Lewis (Tie) – $14 million
17. Snoop Dogg $12.5 million
18. Eminem – $11 million
19. Swizz Beatz – $10.5 million
20. Ludacris (Tie) – $10 million
20. Rick Ross (Tie) – $10 million

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.