Mbali tu na kutamba na hits kibao kama Where,Pana na Diana mwaka huu pia Tekno alikula shavu kwa kusign na kampuni ya Sony International.
Katika kuendeleza kukuthibitishia kam Tekno sio wa mchezomchezo mkali huyo wa hitsong Duro ameingia tena kwenye Headlines baada ya mtandao "Billboard" wa marekani kumtaja kama Mwanamuziki wa Afriika anaetakiwa kutazamwa kwa mwaka 2017.
Tukiachana na Tekno unafikiri ni msanii gani mwingine kiafrika anapaswa kutazamwa kwa mwaka 2017.
TEKNO KAGOMA KURUDI NIGERIA | KAWATAJA MADEMU WA BONGO ANAOWAKUBALI: