Crazy GK katikati na Vijana wake Mwana FA kulia pamoja Ay
Jana ktk Viwanja vya Karimjee Kiongozi wa Ngome East Coast Team, King Crazy Gk alitunukiwa Degree Yake ya kwanza katika masuala ya Mass Communication, washkaji zake wa Zamani Mwana FA na Ambwene Yesaya walikuepo pia ku show love Kutoka Team Makorokocho Tunasema Hongera Big Bruv!! we hope kuna mengi mengi yataanza kuja kutoka East Coast Team...