|
Mhariri Mkuu wa Gazeti La Makorokocho |
|
Hii Ndo Cake ya B-day zawadi Iliyopikwa na Dina Marios wa Leo Tena |
|
Hii Ndoi Cake ya Pili zawadi Iliyopikwa na Dina Marios wa Leo Tena pamoja na DeeAndy | |
BATA LA KUADHIMISHA SIKU YANGU YA KUZALIWA LILIANZIAA JANA KABLA
NA BAADA YA ALAZAROHO YA @DIVAAKAMIMI , TULIANZA KWA KUPIGA STORY TULIPOMALIZA
VUUUUUP HAOOO + @DAUDIWAKOTA MPAKA KINONDONI KWA MPEMBA KULA KIEPE, DIVA
AKASEMA ATASIMAMIA SHOW #MUBENGA AKATISHA KWENYE BILL, MCHANA SASA WA LEO PAAP
NASHANGAA KEKI ZIMEINGIA KWA MJENGO TYME ZA XXL YA @BDOZEN KUULIZA ZIMETOKA WAP #DINAMARIOS NA @DOREENANDY WAMETISHA SIKU
MIIINGI BIG UP KWAO, ILA BAADAE KUJA KUWA DADISI NDIPO WAKATIRIRIKA KUWA AUNTY TUNIY (MAMA YANGU MDOGO ANAYEISHI U.S.A) NDO AMESIMAMIA SHOW, NA ALIWATAFUTA KABLA YA SIKU YA TUKIO (NAMSHKURU SANAAAA CTOSAHAU KWA ALICHOKIFANYA DUH #MAMBOYABINADAMUHAYOOO),
HUKU NIKIWA NA FURAHA NA MAPIGO YA MOYO YAKIPIGA KWA KASI NIKAIKATA KEKI NA
KUANZA KUWALISHA WANA KIBAO MJENGONI @CINDYLEGENDS @FARAJA_K #DOMMYMGAYA
ALIPIGA PIX ZA KUMWAGA @PERFECTCRISPIN #JIMMYJAM #ADRIANKANENO #EMMALIKUDA
#MILLARDAYO ALITISHA KWA KUTOA CAMERA, @BENPOL ALIIMBA WIMBO WA BDAY LIVE ON
XXL , #ROMAMKATOLIKI #FIDQ #DJZERO #LADYHAHA #ABBYWACHOICEFM, #LEEWACHOICE
#GOODLUCKWAMARKETING #PHILIPMWIHAVA LIST
ILIYOKULA KEKI ILIKUA NDEFU SANAAAA, NAWASHKURU WOTE WALIOTUMA MSG ZA KUNIWISH FACEBOOK,
TWITTER ASANTENI SANA, MAJIRANI NA MARAFIKI WOOOTE MY TEAM, #TEAMMAKOROKOCHO,
KWA SIKU HII INGAWA SHUGHULI ILIFANYIKA KIOFIC ZAIDI LAKINI SINA
BUDI KUISHUKURU FAMILIA YANGU, JAPO HAWAKUWEPO ENEO LA TUKIO KWANI YENYEWE NDIO
ILIYONISHAPE MPAKA NIKAWA KIJANA MTIIFU KWA TAIFA LA TANZANIA, KUANZIA BIBI
YANGU, MAMA ZANGU WA KUBWA NA WADOGO, WAJOMBA ZANGU, MAKAKA NA KINADADA NA NINA
UHAKIKA WA 100% KWAMBA MWENYE FURAHA ZAIDI KWA SIKU HII NI MAMAYANGU MZAZI
NAMWOMBEA KWA MUNGU AWE NA AFYA NJEMA CKUZOTE, THE LATE VICTORKADIO (DINGI
YANGU) R.I.P MI NI PHOTOCOPY YAKO KABISAAAA, I GUESS UNA WISH UNGEKUA HAI SIKU
KAMA HZI UFURAHI NA THE ONE AND ONLY KID ULIYEMWACHA, SIKU HIZI NIMEKUA MKUBWAA, BIG KWA #DIDASFACION (MAMA T.J) SIKU KAMA HII MWAKA JANA YEYE ALISIMAMIA BATA LOOOOTE #AHMAMBOYABINADAMUHAYOOO!!! TEAMMAKOROKOCHO4LIFE