Wednesday, February 11, 2015

WANAUME WANAOFANYA NGONO NA WANAWAKE WENGI KWA 28% HAWAPO HATARINI KUPATA PROSTATE CANCER

Kuna wanaume wataipenda hii sana……Utafiti mpya unasema , wanaume wanaofanya mapenzi na wanawake wengi, wanaume hawa kwa kiasi kidogo wako hatarini  kupata saratani inayoitwa prostate cancer.

Watafiti wamegundua wanaume ambao wana wanawake zaidi ya 20 wanaofanya nao ngono wanaondokana na kuwa hatarini kupata prostate cancer kwa asilimia 28.
Na wanaume waliolala na wanawake zaidi ya 20 wamepunguza nafasi ya kukua kwa saratani mbaya kwa asilimia 19.

Utafiti huo umeendelea kueleza kutofanya kabisa inaongeza nafasi ya kupata saratani, Uwiano nyuma ya utafiti huo ni kwamba tabia ya kufanya ngono inaweza ikatoa kwa kiasi kikubwa chemicals zinazosababisha saratani hasa zile zinazokaa kwenye mbegu za kiume.
Utafiti umesema kujichua (masturbation) na kufanya mapenzi sana na mpenzi mmoja haisaidii.

Alipoulizwa kwamba eneo hilo la afya litashawishi wanaume kufanya ngono na wanawake wengi katika maisha yao ili kuepuka kupata saratani hiyo ya prostate cancer.  

Profesa Marie-Elise Parent alijibu  "Hatujafika bado, inawezekana kwamba kuwa na wanawake wengi kimapenzi ikasababisha ukafanya ngono sana, kitu kitakachokuzuia kupata prostate cancer, kwa sababu kila mwanamke mpya unavyokutana nae unakuwa unahamu ya kufanya nae mapenzi tofauti na yule unaefanya nae kila siku, ni kitu kipya unaona, hata kufikia kilele unafikia kwa haraka, kwa hiyo kwa kufanya hivyo mara nyingi inakusaidia kutoa chemicals zilizopo kwenye mbegu za kiume ambazo zinaweza kusababisha prostate cancer.

Utfiti huo ulitolewa kupitia jarida la journal Cancer Epidemiology.

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.