VIDEO:Zlatan Ibrahimovic amtumia zawadi mlinda mlango wa Man-City.
Mshambuliaji wa Manchester United Zlatan Ibrahimovic ameendeleza majivuno yake na kujitabainisha kama mtu mwenye dhihaka sana baada kupost video kwenye ukurasa wake wa
Instagram akimpa onyo golkipa mpya wa Manchester City Claudio Bravo kuelekea mchezo wa ligi kuu ya Uingereza utakaowakutanisha watani hao wa jiji la Mancherster wikend hii.
Katika video hiyo Zlatan Ibrahimovic ambayo anaonekana akiandika ujumbe kwenye boksi lenye vifaa maalum alivyomuandalia mlinda mlango mpya wa klabu ya Manchester City Claudio Bravo.
Juu ya boksi hilo ameandika hivi;
Welcome to Manchester! Here’s some training gear, you’re gonna need it. See you Saturday.#MUFC #ManchesterDerby