Thursday, September 8, 2016

Hollywood yampa Usher Raymond heshima ya "Hollywood Walk of Fame".

Staa wa muziki wa RnB Usher Raymond hatimae jumatano ya Sept.7 ametunukiwa heshima ya "Hollywood Walk of  Fame" hii ikimaanisha jina lake litakua miongoni mwa majina ya watu maarufu ulimwenguni ambao majina yao yapo katika eneo hilo la makumbusho ya taifa nchini Marekani.
 "I’m here because I haven’t given up and I have even more to tell," ...... “It’s a story that started many, many, many years ago that leads to this moment. It’s not just what you do while you’re here. It’s the evidence of what you’ve done and what you leave on the walls, on the ground, and the hearts of all the people who are passionately connected to what you put out in the world."Alisema Usher ambae hits song yake ya "No Liimit" aliyomshirikisha rapper Young Thung inafanya vizuri kwenye chart mbalimbali za muziki ulimwenguni.
                                            Usher Raymond na wanawe.

Hata hivyo amewashuku mashabiki wake na watu wote waliokua wakimpa support kwenye safari yake ya muziki huku mastaa kadhaa wa muziki nchini humo kama Stevie Wonder, Kelly Rowland, Miguel, and will.i.am. na wengine wengi wakimpongeza Mwanamuziki huyo kwa hatua hiyo kubwa.


                                                 Usher & Stive Wonder.
                                                       Usher & Will.iam.
                                   Usher Raymond,Miguel & Kelly Rowland.


       

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.