Breaking News Kutoka Navykenzo Na Timu Nzima Ya The Industry
Tahadhari kutoka uongozi wa The industry Studio Tanzania msanii seline (Roseseline Muhagachi) hayupo tena chini ya uongozi wa lebo "The Industryt" inayomilikiwa na NAVYKENZO (Aika&Nahreel)
Hii ni kutokana na matukio mbalimbali ya utovu wa nadham ambayo yalitokea akiwa chini yaya uongozi wa label hiyo
Selline Wa Pili Kushoto.
The industry haihusiki na shughuli,matangazo wala matukio yreyote yanayomhusu mwanadada seline(roseline Muhgachi)