Monday, November 14, 2016
U-HEARD | Video Ya Callisah Na Wema Wakidendeka Yasababisha Kifo
Labda ukaribu wako na mitandao ya kijamii utakua umekukutanisha na video ya Model wa videos na matangazo mbalimbali ya Bongo akidendeka na Wema Sepetu ambao wanatajwa kuwa wapenzi kwa sasa japo hawakuwahi kuthibitisha hilo.
Video Ya wawili hao wakipiga denda la mwendokasi inasambaa mtandaoni kwa kasi ya ajabu
Makorokocho.co haikukubali huu ubuyu ukupite, si tukaamua kuwatafuta wahusika,
Mwanetu Callisah alitoa ya moyoni kuhusu video hiyo huku akihusisha tukio hilo na msiba wa bibi yake. Simu ya Sepenga iliita bila kupokelewa
Msikilize Hapa Kwenye Hii Video:
Kama haukuiona Video Ya Wema Na Callisah Wakidendeka Ni Hii Nimekuwekea Hapa Chini.
Comments System
facebook
