Chegge Chigunda mtoto wa Mama Said kama mwenyewe alivyozoea kujiita amepiga stori Gazeti La Makorokocho baada ya picha iliyopigwa usiku wa Tamasha la Fiesta Dar ikiwaonyesha Chegge na Nature wakiwa pamoja na demu wa kizungu kusambaa kwa kasi mitandaoni, Kwa mujibu wa shilawadu Inasemekana Chegge na Juma Nature hawana mahusiano mazuri, Chegge alikanusha tuhuma hizo na kusema Yeye Na Juma Nature hawana tatizo.
Ni Kweli Waache Waoane ni dongo kwa Nature?
Bonyeza Play Hapa Kwenye Hii Video Usikie Alichojibu:
