Friday, November 11, 2016

Rais Magufuli Aongoza Mamia Kuuaga Mwili Wa Mzee Samuel Sitta

Mwili wa aliyekuwa spika wa bunge la Tanzania, Samuel Sitta umeagwa katika viwanja vya Karimjee na mamia ya watanzania wakiongozwa na Rais wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli na Makamu wa Rais mama Samia Suluhu.
Wengine ni Rais mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete, Dk. Gharib Bilal.Baada ya kuagwa Dar, mwili wake utapelekewa Dodoma kwa ajili ya wabunge kutoa saamu za mwisho kisha kupelekwa Urambo, Tabora.


Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.