TB Joshua ni mmoja wa wahubiri maarufu barani Afrika ambae amejipatia umaarufu kutokana na mahubiri yake yanayoambatana na utabiri wa mambo mbali mbali ulimwenguni,ambapo wafuasi wake huamini kuwa utabiri wake ni wa ukweli akimiliki kituo cha Televisheni ambacho hurusha mahubiri yake kutoka kwenye kanisa lake linalofahamika kama ' Church Of All Nations'.lililopo jijini Lagos,Nigeria.
Hii ni post aliyoifuta kwa aibu....dohhhh..!!
Baada ya kifo cha Michael Jackson, mhubiri huyo alidai kuwa hilo ni suala ambalo alikuwa amelizungumzia miezi sita kabla.
Wakosoaji wa Mhubiri huyo tajiri wameutaja utabiri wake kuwa wa uongo.
Hizi ni baadhi ya 'Tweet' za vijembe mitandaoni kwenda kwa Mhubiri huyo.