Akiwa na tuzo ya Msanii bora wa kike kwa mujibu wa MTV-MAMA-AWARD2016,Yemi Alade amechia video hii mpya 'Tumbum' mdundo ukipikwa na produza wake Selebobo.
According to Fader,Picha hii ya Yemi alade imepigwa wakati Mwanamuziki huyo alipotokea kwenye jarida maarufu la FADER kwenye kipengele cha 'QUEEN OF AFROBEATS'.