Tuesday, April 24, 2012

BARNABA AFICHUA RUSHWA ZA NGONO ZINAZOTOKEA VYUONI KATIKA VIDEO

Hit Maker wa ngoma ya Magubegube, Mtu mzima Barnaba, kupitia kwenye Video ya Ngoma hiyo aliyoi release hivi karibuni, ameamua kufichua uozo unaotokea Mavyuoni na Mashuleni hasa katika ishu nzima ya Rushwa za Ngono kati ya Lecturers na wanafunzi wa Kike, katika Scene hiyo anaonekana Lecturer (Mpoki wa Ze Comedy) akiongea na mwanafunzi wake Hamisa (Miss XXL Afta Xkul Bash 2010) Hamisa alikua amefelishwa sasa wakati ndo ana claim, Mpoki akamshawishi kama vipi waka megane ili aweke mambo sawa, licha ya hivyo Katika Video hiyo kunaonekana masuala ya Usaliti kati ya Wapenzi na ishu nzima ya kupiga vita Ugonjwa wa Ukimwi,
cheki video hiyo hapo chini:

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.