Tuesday, April 24, 2012

BIG UP KWA MADEE KWA KUSHEREHEKEA BIRTHDAY YAKO NA WATOTO YATIMA

Madee
Jana ilikua ni Birthday ya Rais wa Manzese - Rapper Madee kutoka kundi la Tip Top Connection, Nampongeza kwa kuwa jana Alisherehekea Birthday yake pamoja na watoto wa kituo cha watoto Yatima, aliwapelekea zawadi na kufurahi nao,
Style yako ya Ku give back kwa jamii ni Nzuri inabidi watu wengine waige, coz jamii imekua ikiwaunga mkono kwa kusikiliza kazi za wasanii na Kuzi request Kwenye Radio station na Tv, kulipia viingilio vya Concert n.k
nilimuuliza Madee vp hujapiga picha ulipoenda huko, akanijibu kwa Sms "Unajua dini yetu haipendi kama unatoa msaada kila mtu ajue, dats y nikashindwa kuwa na Camera, tumeagizwa hivi, toa na mkono wa Kulia ila wakushoto Usijueeeeee"
word Bro!!

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.