Saturday, April 7, 2012

BREAKING NEWZ: DIAMOND PLATINUM APOKELEWA KWA SHANGWE KWENYE MSIBA KANUMBA THE GREAT, GARI LAKE LASUKUMWA KAMA MFLAME

Diamond na Ray

Habari zilizotufikia sekunde chache zilizopita ni kwamba, msanii wa Bongo flava Diamond Platinum amepokelewa kwa Shangwe mara baada ya kuonekena maeneo ya karibu na nyumbani kwa Kanumba ( Sinza Vatican) Mashabiki waliokuwepo maeneo hayo walishindwa kukaa na huzuni zao na kulipuka kwa shangwe na kusahau kama walikua msibani, kila mtu alikua akitaka kumsalimia msanii huyo, na walifanikiwa lakini ilibidi watu waengine wawatulize kidogo kwa kuwaambiana jamani eeeh...tupo msibani hapa, ndo majamaa wakapiga kimya, na Diamond akafanikiwa kuchoropoka kwenda kusalimia wafiwa, lakini mijicho ya fans hao iliendelea kumtumbulia macho msanii huyo Star wa Muziki wa bongo flava.

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.