Saturday, April 7, 2012

PICHA ZA MSIBA WA KANUMBA, VATICAN SINZA

Gari la polisi lililoingia Nyumbani kwa Kanumba kufanya Uchunguzi

Fans wa Bongo Movie waliojitokeza Msibani

Actor Steve Nyerere alishindwa Kujizuia na kuanguka huku analia

Pamoja na Geti kufungwa Fans walipanda ukuta wenye chupa wala hawakujali

Miss Tanzania MIllen Magese

Actress Shilole akiwa na majonzi

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.