Thursday, April 26, 2012

KILINGE KIPYA KWA AJILI YA WANA HIP HOP ARACHUGA




Watengwa Records wakishirikiana na UKKSA, DAB Music Ent. pamoja na REDfilmz Ent. wanakuletea event mpya kijini Arusha. Event hii itakua ikishindanisha/pambanisha, au kuonesha vipaji vya wasanii chipukizi (Underground Artists). S.U.A Free stage ni maalum kwa vijana wenye uwezo wa kufanya mitindo huru yaani 'freestyle', dj,cypher (muunganiko wa wasanii kwenye biti moja, graffiti na MC.Pia ni soko huru kwa ajili ya wasanii kuuza bidhaa zao walizobuni, kwa mfano:- T-shirts,Cds,michoro na vinginevyo vinavyohusiana na sanaa.

 Itazinduliwa tarehe 27/04/2012 Kijenge ya Juu nje ya studio za Watengwa Recs. 

Karibuni wote tuzindue S.U.A kwa pamoja.tubadilishane mawazo.Tufurahie burudani. KIINGILIO KWA MSANII HATA WATAZAMAJI...ni BURE!!!
Karibuni Kijenge ya Juu.........WATENGWA RECS 4 LIFE.
FULU ILE LAANA!!!

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.