Dua ikiombwa mbele ya mwili wa Hayati Mzee Small |
Safari ya Mwisho ya Mwana sanaa za maigizo na Uchekeshaji Mzee Small
aliyefariki weekend Hii iliyoisha imefikia tamati Leo tabata jijini Dar
es salaam, watu mbalimbali wameguswa na msiba huu akiwemo Rais wa
Jamhuri ya Muungano Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete aliyefika nyumbani
kwa marehemu Tabata mawenzi na kusign Kitabu maombolezo.
Rais akiwa na Kiongozi wa shirikisho la wasanii Simon Mwakifamba, pamoja na Kiongozi wa Bongo Movie Club. |