Imam Abbas |
Baada ya Kimya kiiiiingi na wengine kuhisi kuwa ameachana na michano The Loong tyme Rapper in bongo, Imam Abbas amefunguka kuwa muda si mrefu atadondoka mainstrem na Bonge la project inaitwa Asai Entertainment, design kama Record Label hivi ambayo wameianzisha maalum kwa ajili ya Kusaka, kufunza na Kupromote vichwa vya Hip hop, Imam amesema kwa sasa ameamua kuweka Pembeni Mswaki (Mic) na kuwaachia Young Age wafanye huku yeye akiwa anawasababishia kiufundi zaidi, Lakini pia chini ya Kampuni hiyo kuna Miradi kadhaa inaendelea ikiwa ni pamoja na Imam Abbas Wear nguo ambazo tayari wana soccer maarufu bongo wanazivaa kama Amir Maftah(Simba) na Chuji (Yanga), lakini pia wana mtandao wao online na mtu akitaka kujiunga na Harakati hizi basi anaweza kutuma demo kwao then mpango mzima wa kusaidiwa kama Artist utaanzia hapo, cheki na blog ya hii kwa taarifa zaidi http://www.swahilihip-hopfamilyclub.blogspot.com
Hii ni Logo ya Imam Abbas (Imam Abbas Wear) |
Swahili Hip-Hop Family Club |