Ali Kiba |
Then baada ya tukio hilo Lulu si alipotea nyumbani kwa Kanumba, basi ndo rumorz zikaenea Ali Kiba ndie aliyemfata na Gari Lulu maeneo ya Sinza vatican na kufanikiwa kuondoka nae eneo la tukio.
Sasa Ali Kiba anasema siku hiyo ya Tukio yeye alikua ufukweni Coco Beach anakula bata, ndo akaskia watu wanaongea kwamba Kanumba kafaa, ndipo yeye akaamua kumvutia wire Lulu na kumuuliza ukweli wa taarifa hizo, lakini Lulu alimjibu sio kweli ila Steven Kanumba ana umwa, basi baada ya Muda akapata simu kutoka kwa Mama mtoto wake flani hivi anayeishi maeneo ya Sinza, akamwambia Kanumba amekufa na mwili wake ameuona ukiingizwa Mochwari.
Kuhusu ishu ya kutokuwepo Dar asubuhi ya siku hiyo Ali Kiba amejibu kuwa Alfajiri ya siku hiyo alisafiri kikazi na kuelekea Malindi Mombasa/Kenya na taarifa kuwa aliwakimbia polisi si kweli.
Skiza alichoongea Ali Kiba ndani ya Bongo flava ya Clouds fm: