Kushoto the Late Steven Kanumba akiwa na Kajala |
Kabla hajafa Kanumba aliwahamasisha mastar wenzake wa Bongo movie kuwa Jumapili hii yani kesho, wasanii wakusanyike kwa pamoja waende kumtembelea mwigizaji mwenzao anayesota gerezani kwa zaidi ya mwezi sasa (Kajala ambae ana kesi kubwa ya jinai) lakini kwa bahati mbaya hakujua kama ndoto yake haitotimia, ila mpenzi wake ndo atakayefanikiwa kuonana na mwanadada Kajala Live live Gerezani, kwani kwa wakati huu Lulu yuko chini ya Ulinzi wa polisi, na huenda akaswekwa Lupango na baadae kupelekwa mahakamani, siombi iwe hivyo, just incase "Kajalaaa" mwandalie Lulu pa Kulala na misosi nini na nini, kitu cha ugali na maharage he he...kidin
Lazima utajiuliza kuwa nimejuaje kama Kanumba alikua na ndoto hiyo, jibu ni kwamba kupitia social network iliyopo kwenye simu aina ya Blackberry tu (nazungumzia BBM) kwa mujibu wa waigizaji wenzake na marafiki zake wa karibu(Wema Sepetu, Mainda, Jacky Pentzel n.k) inasemekana Eti.... Kanumba aliandika maneno yanayomaanisha kwamba "wote tuungane jumapili hii Kumtembelea Kajala Gerezani."