| Gossip Cop- Tz Soudy Brown, Daudi Wa Kota pamoja na Chiddy |
| The Gossip Cop wa Clouds fm kwenye kile kipindi cha vijana cha XXL administrator namba moja wa gazeti la makorokocho Soud Brown akiwa katika mojamoja ya harakati zake mkoani TA! |
| As normal huyu ni admin na mrembo! |
| Presenter namba moja mwenye makeke ndani ya kipindi cha vijana bana! AD Plus Katikati akionyesha tabasamu baaada yakutupiwa swali na Admini namba moja wa Makorokocho! Soud B alievaa headphone. |