Wednesday, April 4, 2012
Diamond Platinum: Nimewahi kumfumania Wema Sepetu live akiliwa Uroda na Njemba flani hivi
Bongo flava Artist, Diamond Platinum amekiri kuwahi kumfumania Ex-Girlfriend wake "Wema Sepetu" kwenye hoteli flani akiliwa Uroda Live, lakini pamoja na hayo waliendelea na kushare kitanda kimoja kiroho safi, hiyo ilikua ni mwaka jana mwezi wa sita na walikuja kuachana kwa sababu nyingine mwaka huu mwezi wa kwanza.
Anasema siku hiyo alihuzunika sana lakini ndo atafanya nini, ukiangalia mtoto alikua anampenda, mtoto shata shata.
mh kweli anamoyo ndugu yetu.
Diamond amefunguka hayo leo ndani ya Amplifaya ya Cloudsfm.
Comments System
facebook