Tuesday, April 9, 2013

INASEMEKANA ETI MAPENZI YAMESABABISHA DARK MASTER ANYOE DREAD ZAKE


DARK MASTER
Mwana Chemba Dark Master amefunguka kuwa hivi karibuni amelazimika kunyoa Dread zake kutokana na Script ya Music Video yake inayokuja, ingawa gazeti la makorokocho lilipekua kwa undani na kupata taarifa za kishakunaku kuwa eti kaka yetu amekata dread zake kutokana na shinikizo alilopata kutoka kwa mpenzi wake na wakwe zake watarajiwa, so mapenzi yamesababisha Mgumu Dark Master awe nyororo, Patamu Hapoooo
Mskize Mwana Chemba Dark Master anavyotiririka na Muhariri hapo chini:

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.