Jeneza lililo beba mwili wa Bi Kidude |
waombolezaji |
Waziri kiongozi wa ZANZIBAR, seif sharif hamad |
Rais JK na Rais Shein |
Rais JK na Rais Shein |
Artist wa Taarab Mzee YUSUF |
Rais JK Kikwete |
Mvua ilikua kubwa Sana |
Wana usalama walikuwepo kuweka mambo sawa |
Artist Diamond |
Rapper Fid Q |
mwili wa Bi kidude ukitaarishwa kuingizwa kaburini PICHA KWA HISANI YA DJ G LOVER/ GURU
JANA TUMEMPOTEZA MSANII MKONGWE KWENYE INDUSTRY YA TANZANIA NA
DUNIA KWA UJUMLA, FATUMA BINTI BARAKA , MAARUFU KAMA BI KIDUDE,
ALIYEZIKWA LEO HUKO KITUMBA UNGUJA ZANZIBAR
HISTORIA
YAKE KWA UFUPI KUZALIWA:
Fatuma binti Baraka au Bi Kidude, alizaliwa katika kijiji cha Mfagimarigo Zanzibar katika
familia ya watoto saba (7). Baba yake Mzee Baraka alikuwa ni mfanyabiashara wa nazi, zao
ambalo ni la kutumainiwa sana Zanzibar. Bi Kidude anasema hafahamu tarehe
halisi aliyozaliwa, isipokuwa anachojua ni kwamba alizaliwa wakati rupia ikitumika
kama fedha,
ALBUMS :
MIAKA 10 ILIYOPITA ALITOA ALBUM INAITWA ZANZIBAR, NA MIAKA YA
HIVI KARIBUNI ALIFANIKIWA KUREKODI ALBUM NYINGINE INAITWA MACHOZI YA HUBA KTK
STUDIO ZA HEART BEAT RECORDS
STUDIOS KUBWA ALIZOWAHI KUFANYA NAZO KAZI:
RETRO AFRIC, PIRANHA, GLOBE STYLE, JAHAZI, EMI/ VIRGIN RECORDS
UJASIRIAMALI:
Bi Kidude haKUA ANAtegemeA kazi moja tu ya kuimba, kwani pia
ALIWAHI KUWA mfanyabiashara ya 'wanja' na 'hina' ambavyo anavitengeneza yeye mwenyewe,
pia ni mtaalamu wa matibabu kwa dawa za mitishamba na zaidi ya hayo ni mwalimu
mzuri sana wa 'Unyago' na ameanzisha chuo chake mwenyewe
na anasema katika wanafunzi wake wote hakuna aliyepata talaka kutoka kwa
mumewe.
TOUR:
TUZO:
|