H baba na wadau wakizifurahia PIPI
BAADA YA KUPIGA SHOWS ZAIDI YA 300 KWA MWAKA WA 2012, SASA ARTIST WA BONGO FLAVA H BABA AMEAMUA KUWEKEZA AKILI YAKE KWENYE BIASHARA MPYA YA PIPI AMBAPO KAMPUNI TANFRIK LIMITED NDIO INAYOHUSIKA KATIKA KUZITENGENEZA NA KU PACKAGE PIPI HIZO, ZINAITWA "H BABA FLORA MAPENZI MOTO MOTO" |