Tuesday, April 16, 2013

SAUTI YA WEMA SEPETU YANASWA WAKATI AKIBEMBELEZEA PENZI KWA DIAMOND / INASEMEKANA LAKINI

WEMA
LEO TANGU ASUBUHI MTAANI KUNA SAUTI IME REKODIWA YA WEMA SEPETU VS DIAMOND NA MPENZI WAKE PENNY, INASEMEKANA KWAMBA WEMA NDIYE ALIYEMPIGIA SIMU DIAMOND, NA KWA MUJIBU WA KAKA YETU ANASEMA MWANADADA HUYO ALIPIGA SIMU ILI KUBEMBELEZEA PENZI KWA KAKA WARUDIANE, NDIPO DIAMOND AKAANZA KUMREKOD NA KUMPA SIMU MPENZI WAKE/ PENNY ASEBENZE NA WEMA SEPETU, SKIZA MAONGEZI HAYO YALIVYOKUA HAPO CHINI:

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.